HATUA YA 195: Kizazi cha Kuona Kwanza na Kuamini.

Tupo kwenye kipindi ambacho watu wake hwaamini tena mpaka waone. Kizazi ambacho hakiamini matendo ya Imani mpaka kione kwa macho ya damu na nyama. Tuna watu wengi sana ambao hawawezi kuamini chochote unachowaambia bila ya kuona ishara ya papo kwa papo. Kama huwezi kujenga Imani kwanza ndipo uone matokeo utaishia kudanganywa kwenye mambo mengi ya […]