467; #usiishienjiani leo: Unajisikiaje Unapofanya kazi Yako?

Ni muhimu sana uweze kujisikiliza na kutambua moyo wako unakwambia nini. Moja ya vitu ambavyo tunakwama ni kushindwa kujisikiliza sisi wenyewe. Unaweza kuwasilikiza wengine lakini huwezi kujisikiliza wewe unataka nini. Mara nyingi ili. Uweze kujua kile unachokifanya kama ni kweli ni kusudi lako ni kuanza kusikiliza unajisikiaje unapofanya. Kama unajisikiaje furaha fulani ambayo haielezeki ndani […]

466; #usiishienjiani leo: Ongoza Vyema Fikra Zako.

If you think you are beaten, you are; If you think you dare not, you don’t. If you’d like to win, but you think you can’t, It is almost a cinch that you won’t. If you think you’ll lose, you’re lost; For out of the world we find Success begins with a fellow’s will It’s […]

465; #usiishienjiani leo: Kuwa Imara Zaidi.

Chochote unachopitia kwenye maisha yako kama hakijayaondoa maisha yako basi kimekufanya uwe imara zaidi. Tofauti ni kwamba kuna watu badala ya kuwa imara wanakuwa waoga.Umeingia kwenye biashara ukapata hasara pesa zote zikapotea badala ya kuwa imara unakuwa muoga na hujaribu tena. Unaingia kwenye mahusiano unaumizwa halafu inakuwa kama hutaki tena, na unaanza kusema wanaume/wanawake wote […]

464; USIISHIENJIANI LEO : Kuwa Glasi Tupu.

Kati ya glasi iliyo tupu na iliyojaa maji siku zote ile tupu ndio hupata nafasi ya kuwekewa maji mengine. Watu wengi tunapenda Kuonekana tunajua kila kitu. Tunapenda Kuonekana sisi kuliko hata vile tunavyovifanya. Ni muhimu ujue kuwa Unapokuwa kama glas tupu maana yake wewe ni mtu unaefanyia kazi yale ujifunzayo. Huachi glasi ikiwa na maji […]

463; USIISHIENJIANI LEO: Usitarajie Shukrani.

“Gratitude is a duty which ought to be paid, but which none have a right to expect.” -Jean-Jacques Rousseau Kushukuru ni wajibu wa kila mtu, Kulingana na wale waliokutendea mema lakini hakuna anaepaswa kutarajia shukrani kutoka kwa yeyote. Haijalishi umewatendea mema wangapi kile kitendo cha kutaka wale uliowatendea wema wakuogope na kukutetemekea unakuwa unafanya makosa. […]

462; USIISHIENJIANI LEO: Usiwe Mtu wa Aina Hii.

Mithali:26.27 Achimbaye shimo atatumbukia mwenyewe; Naye abingirishaye jiwe litamrudia. Usikubali kuwa mtu anaewatendea wengine mabaya kwasababu huku ni kujitengenezea ubaya juu yako mwenyewe. Unapomuumiza mtu humuumizi yeye peke yake kumbuka ana watu ambao wanamzunguka na wanampenda sana hivyo na wao husikia maumivu. Kwa maana hiyo ni kwamba hata kama utafikiri umemkomesha mtu fulani kwa kumtendea […]

461; Kanuni 3 za Mafanikio Makubwa

Zipo Kanuni tatu ambazo ukiweza kuzifanyia kazi maisha yako lazima yawe na Mafanikio. Kanuni hizo ni: 1.Anza na Ulichonacho. Usiwe mmoja wa wale watu wanaolalamika hawana mtaji, hawana msaada fulani wamekosa hiki na kile. Angalia kile ulichonacho na kitumie kuanza chochote kitakachoweza kukuingizia kipato. Jitazame na ufanye tathmini ya vitu ambavyo unavyo kuanzia ndani yako […]

460; #USIISHIENJIANI LEO: Fursa Huja Katika Sura Tusiyoipenda.

Mara nyingi fursa za kubadilisha maisha yetu huja katika sura ambazo hatuzipendi na wala hazivutii kufanya.Kwasababu watu hupendelea vitu vizuri na vyenye heshima hujikuta wanapishana na fursa za kubadilisha maisha yao. Kuna hadithi moja niliwahi kuisoma, Kulikuwa na watoto wawili walikwenda kumtembelea bibi yao wakati wa siku kuu.Sasa wakati wanaondoka bibi aliwaandalia zawadi. Zawadi hizo […]

459; #USIISHIENJIANI LEO: Usiishi Kama Wanavyoishi Sasa.

“Dont live like rich people living currently, live the way they lived before being rich.” Usiishi Kama matajiri wanavyoishi sasa, ishi kama walivyo kuwa wanaishi wakati wanautafuta utajiri. Unaweza ukawa unafikiri kuishi kama matajiri ndio kuwa tajiri lakini ukawa unakosea. Wako watu huiga kila kitu kwenye maisha ya matajiri na kujikuta wamebeba mizigo mizito sana. […]

458; #USIISHIENJIANI LEO: Mafanikio Sio Kustarehe

Kuna watu huchanganya mafanikio na starehe. Unajua kuna tofauti kubwa sana kati ya kustarehe na mtu alie na amani ya moyo baada ya kufanya kile alichozaliwa kuja kufanya. Mafanikio sio kuacha kazi na kukaa nyumbani kwasababu una pesa za kutosha. Usipoteze maisha yako kufanya vitu ambavyo haviachi alama yeyote kwenye dunia hii na kwenye maisha […]