399: Woga Haukusaidii Chochote Hapa..

Umekutana na mtu ukatamani sana kuzungumza nae lakini ghafla yakaanza kuja mawazo kichwani kwako kwamba, “huyu atakuwa anaringa” “mimi sistahili” “nitaongea nae siku nyingine”. Mwishoe unaondoka huku ukiwa hujaweza kuzungumza neno lolote. Huu ni woga na hofu ambayo umejitengenezea mwenyewe. Kwanza unatakiwa ujue hata kama hayo unayowaza ni ya kweli basi yeye ndie ana matatizo […]

398: Kuwa Mkweli Kwako Kwanza.

Unaweza kuwadanganya wengine lakini huwezi kujidanganya wewe mwenyewe. Ndani ya nafsi yako unajua ukweli ni upi. Ndani ya nafsi yako unajua kama Maisha unaigiza au ni kweli kile ambacho unakionesha. Mojawapo ya vitu vinavyowatesa wengi ni kujaribu kujidanganya wenyewe, unakuta unajua kabisa Matendo yako hayaashirii kabisa kile ambacho unataka lakini unajitia moyo wa uongo kwamba […]

397: Jinsi ya Kuondoa Imani Potofu Ambazo Ulijengewa Ukiwa Mtoto.

Mtu anatengenezwa katika umri wa kuzaliwa mpaka anapokuwa na miaka 7. Tabia Nyingi na Imani ambazo unazo sasa zilijengwa ulipokuwa mtoto. Na mara Nyingi Imani hizi zilijengwa ulipokuwa unaona kile ambacho watu wa karibu na wewe wanafanya. Mtoto anapozaliwa ubongo wake wa kumbukumbu unakuwa mtupu kabisa. Hivyo kila ambacho anaona kinafanyika kinaingizwa kwenye ubongo wa […]

Malengo Yako Yamefikia Wapi? Tumebakiwa na Robo Mwaka Sasa.

Habari Rafiki yangu. Utakuwa umeshtuka sana kusoma kichwa cha Makala hii, ukweli ni kwamba mwaka 2018 ndio umeisha hivyo. Tunasema imeabaki miezi miwili kwasababu mwezi wa 12 hatujauweka kwenye ratiba watu wengi ndio huenda likizo za kazi, wengi ndio mwezi wa kusherehekea. Itaendelea kubaki miezi mitatu kwa wale ambao wana biashara zao binafsi na lazima […]

Njia Bora Ya Kuishi Kwenye Ulimwengu Huu Wenye Masumbufu Mengi

Tupo kwenye ulimwengu ambao kama usipokuwa makini unaweza kujikuta miaka inakwenda na hakuna cha maana ambacho umekifanya katika kuitimiza Ndoto yako. Ulimwengu huu wenye masumbufu ya kila aina ambayo yanatutoa kwenye mstari na kutufanya tuwe na matokeo hafifu kwenye kazi zetu. Dunia ya sasa unaweza kufanya jambo lako na baada ya dakika chache unajikuta umekata […]

HATUA YA 390: Kumbuka Kitu Hiki Pale Wengine Wanapokukatia Tamaa.

Siku moja nilikutana na kijana mmoja anaitwa Baraka ambaye alikuwa na changamoto ya kukatiwa tamaa yaani kuchokwa na watu wa karibu yake kama wazazi, mpenzi wake na kadhalika. Baraka alinieleza kuwa ilifika mahali akasema sasa afanye nini tena maana kila anachokifanya wale waliomkatia tamaa wanakuwa wanaendelea kumkatisha tamaa. Ilifika mahali akiwaeleza wazo lolote jipya ambalo […]

Aina 4 za Watu Katika Safari Ya Mafanikio.

Habari Rafiki, leo kwenye mbinu za mafanikio tunakwenda kuwaona watu aina nne tulionao katika safari ya mafanikio. Ni kweli watu wengi wamekuwa wanatamani sana kufikia mafanikio. Ni kweli watu wengi wamekuwa wanahamasika sana wakiona wengine wamepiga Hatua Fulani kwenye Maisha. Lakini tunatofautiana sana katika hao wengi kwenye mchakato wa kufikia mafanikio. Katika watu wengi waliofikia […]

Nguzo 10 za Mafanikio

Habari za Leo ni matumaini yangu u mzima na unaendelea vyema. Leo tuanajifunza nguzo 10 za mafanikio yako. Ukiweza kuzisimamia nguzo hizi lazima utaona mabadiliko na kusonga mbele kuelekea kwenye ndoto zako. Karibu tujifunze pamoja mpaka mwisho. Jua kusudi la kuzaliwa kwako. Nguzo ya kwanza na ya muhimu sana ni wewe kutambua kwanini ulizaliwa. Upo […]

MAMBO MATATU YA KUZINGATIA KILA SIKU

Habari za leo ndugu msomaji wa mtandao huu ni matumaini yangu kua ni mzima na unaendelea na shughuli zako vyema. Leo tunajifunza mambo matatu ya muhimu na ya lazima kua nayo ili uwe na furaha katika maisha yako nimejaribu kyatafakari sana nikagundua kua chanzo cha kutokua na furaha ni mtu kufanya mambo mawili na kuacha  […]