#HEKIMA YA JIONI: Kuchukua Hatua.

Hatuhitaji watu wengi wanaoweza kulielezea jambo Fulani vizuri bali tunahitaji watu wachache wanaoweza kuchukua Hatua juu ya jambo husika. Tuna upungufu wa watu wanaochukua Hatua ndio maana hatuna maendeleo.   Badala ya kuendelea kuongea maneno matupu fanya kile kilichopo kwenye uwezo wako kwanza. Kwa kupitia hicho ndio utaona uwezekano wa kufanya makubwa Zaidi. Tuna wengi […]

Utakula matunda ya kinywa Chako.

Maneno yako yanajenga vitu kwenye maisha yako, hata kama hutaona matokeo yake kwa muda huu ipo siku yataonekana hata ikiwa umeshasahau. Ni vyema sana kujitazama sana kile uanchokiongea kinaweza kuleta matokeo gani kwenye maisha yako na kwa wengine. Sio kila neno ni la kutamka, sio kila jambo ni la kuchangia unaweza kujikuta unajichimbia shimo mwenyewe. […]

#HEKIMA YA JIONI: Kusudi la Mungu na Kusudi La Mwanadamu.

Mungu ametuumba na akatuleta duniani kwa makusudi yake yeye mwenyewe. Pamoja na hayo bado kuna watu ambao hawajaweza kutambua makusudi ya wao kuwepo hapa duniani. Niliwahi kusema kwamba chanzo cha maovu mengi yanayoendelea hapa duniani ni kutokana na watu wengi kuishi Maisha ambayo sio ya kwao yaani kutokutambua kwanini wapo hapa duniani. Mungu hajakuumba uje […]

#HEKIMA YA JIONI: Fanya Mabadiliko ya Kudumu.

“If you want to make a permanent change, stop focusing on the size of your problems and start focusing on the size of you!” T. Harv Eker Harv Eker Mwandishi wa Kitabu cha The Secret on the Millionaire Mind anasema ukitaka kuleta mabadiliko ya kudumu acha kutumia nguvu nyingi kwenye ukubwa wa matatizo yako na […]

#HEKIMA YA JIONI: Aina Mbili Za Wakatishaji Tamaa.

Unapokuwa na Ndoto kubwa na shauku ya kwenda kuitimiza kuna watu wengi sana wanaweza kujitokeza kwenye Maisha yako kama washauri na wenye maoni yao juu ya kile unachotaka kufanya. Watu hawa wanaweza kuwa marafiki wa karibu na ndugu zako wa damu kabisa. Wote hawa wanaweza kutoa maoni yao juu ya kile unachokifanya kwa namna mbalimbali. […]

#HEKIMA YA JIONI: ISHI KWA KUJIAMINI.

Usiwaweke wengine juu kwa yale mazuri waliyonayo na wewe ukajiweka chini. Hata wewe una vitu vizuri pia ndani yako. Usijisikie vibaya kwa kuona zile zawadi zilizoko kwa wengine ukasahau kwamba na wewe pia una zawadi nyingi ndani yako. Una vipaji ndani yako, Mungu amekuumba uweze kutumia vitu hivyo hapa duniani. Usijiweke chini kwasababu unawaona wengine […]

#HEKIMA YA JIONI: BADILI PICHA YAKO YA NDANI.

Vile unavyojiona ndani yako ndio kunafanya uwe mtu unaejiamini au mwoga. Kunafanya pia uwe mtu unaethubutu kuchukua Hatua au uwe mtu wa kusitasita na kuahirisha. Namna unavyojiona ndani yako kunaweza kuathiriwa na namna ulivyokuwa tangu ukiwa mdogo. Yale maneno ambayo ulikuwa unaambiwa mara kwa mara yanaweza kuwa sababu ya jinsi unavyojiona sasa. Vilevile unaweza kujiona […]

#HEKIMA YA JIONI; Dunia Haijawahi Kuwa Sawa na Haitaweza Kuwa Sawa.

Kwenye dunia hii haijawahi kutokea hata siku moja kukiwa na idadi kubwa ya watu na watu wote wakawa wanafurahi tu bila matatizo ya aina yeyote. Kuna mambo mengine yanatokea ni mabaya ndio lakini ni kwasababu ya mazuri ambayo yanapaswa kutokea mahali Fulani. Wewe unapovuna mazao mengi shambani na ukapeleka sokoni ukiwa na matumaini ya kupata […]

Hiki ndio Kinachotokea Unapokuwa Mtu wa Kutoa Sababu.

Pamoja na sababu nyingi ambazo zinasababisha wewe kuendelea kubaki hapo ulipo, unapofikiri kwamba wewe huna ndugu wa kukusaidia, huna mtaji wa kutosha kuanza biashara, mazingira uliyopo ni magumu, na sababu nyingine nyingi unazojitetea unakuwa unaziba akili yako. Pale tu unapoambiwa kwanini huna fedha za kutosha ukaanza kuwa na sababu kede kede unaifanya akili yako iwe […]

Kaa Mbali na Mtu Huyu na Usikubali Kuwa Kama Yeye.

Kwenye Maisha tunakutana na watu wa aina mbalimbali ambao wengine wanaweza kuwa ni marafiki na wengine wanakuwa maadui. Mojawapo ya watu ambao utakutana nao ni watu wanaopenda kupokea bila ya kutoa chochote. Yaani mtu wa aina hii tunaweza kumwita kupe. Mtu wa aina hii anapokutana na wewe ukamwona amehamasika sana anaongea maneno mengi sana ya […]