520; HEKIMA: Kwanini Wengine Wanashinda?

Ni kwasababu wameamua kulipa gharama, Ni Kwasababu wameamua kujitoa kwa kila namna, Ni kwasababu wameamua na wapo tayari kukabiliana na changamoto zozote zitakazojitokeza. Ni kwasababu wamebadili mitazamo yao kutoka vile walivyokuwa mwanzo na sasa wana mitazamo kama wale waliofika mbali zaidi. Ni ukweli huo rafiki kama haupo tayari kulipa gharama huwezi kupata kile unachokitaka. Kama […]

519; #HEKIMA Hii ndio Sababu ya Kupoteza Furaha.

β€œIt isn’t what you have or who you are or where you are or what you are doing that makes you happy or unhappy. It is what you think about it.”― Dale Carnegie, How to Win Friends and Influence People Mwandishi Dale Carnegie anasema katika kitabu chake kwamba, SIO KILE ULICHONACHO AU VILE ULIVYO AU […]

HEKIMA 518; Usipokee wala Kutoa Ushauri Wowote.

Kulikuwa na Bwana Mmoja alikuwa anafanya biashara ambayo inamlazimu sana kuzungumza na watu kila wakati. Yaani ili auze lazima aongee na mtu. Sasa kwasababu hiyo akajikuta anashauriwa sana na watu wengi. Kila mtu anaekutana nae anajaribu kumwelekeza njia nzuri ya kuifanya biashara yake. Siku moja akatafuta mtu mwenye hekima ili amshauri juu ya ushauri anaopokea […]