Haya Maneno Hutaambiwa na Mtu Yeyote Kipindi Hiki.

Karibu sana kwenye mtandao huu na leo nimekuwekea makala kwa njia ya sauti. Unaweza kusikiliza hapa hapa na pia ukapakua (download) kwenye simu yako ili usikilize wakati mwingine.

MIAKA 10 YA MABADILIKO NA MAFANIKIO 2020-2029.

Nimezungumza na wewe kwa namna ambayo itakuwezesha uone kwa picha kubwa zaidi mwaka ujao na uweze kuleta mabadiliko kwenye maisha yako, biashara yako, taasisi, na hata taifa kwa ujumla.

Karibu Sana.

Rafiki Yako, Jacob Mushi.

4 Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

%d bloggers like this: