Habari za leo naomba nitoe maelezo mafupi tena juu ya semina yetu kwasababu kuna watu waliojiunga na mtandao huu mwishoni na hawakupata taarifa za semina yetu.
Semina yetu itaendeshwa kwa njia ya mtandao popote ulipo unaweza kuhudhuria semina hii. Unatakiwa uwe unatumia Mtandao wa Whatsapp au Email.  Ukijiunga na semina hii utapata nafasi ya kuwekwa kwenye group la wasap ambalo ndilo litaendesha mafunzo haya.
Semina itaendeshwa na walimu wane nikiwepo mimi pia.
Masomo yatakayofundishwa ni
Kujitambua kuelekea mafanikio.
Nini maana ya kujitambua na mafanikio.
Vizingiti vya kuweza kujitambua
Vitu vya kufanya kuweza kujitambua.
Mambo ya kufanya baada ya kujitambua ili kufikia malengo
Nguvu ya Maono katika Maisha.
Nini maana ya Maono?
Umuhimu wa maono katika kizazi cha sasa.
Mambo yanayoua maono yako.
Hasara za kutokuwa na maono.
Jinsi ya kuwa na maono na kuyaishi.
Jinsi ya Kuweka Malengo na Kutambua Kipaji.
Jinsi ya Kufanikiwa kwenye Ujasiriamali katika Kipindi hiki kigumu
 SEHEMU YA KWANZA:
 Maana ya Ujasiriamali
Maana ya Mjasiriamali
Sifa za Mjasiriamali
Tofauti kati ya Mjasiriamali na mfanyabiashara
SEHEMU YA PILI WATEJA
Aina za wateja
Mbinu za Kubaki na wateja
SEHEMU YA TATU MAUZO
Namna ya Kuuza
Mbinu za Kuongeza mauzo hasa katika kipindi hiki kigumu
SEHEMU YA NNE UTUNZAJI WA KUMBUKUMBU
Namna ya kutunza Kumbukumbu.
Umuhimu wa kutunza Kumbukumbu.
Semina itafanyika kuanzia tarehe 2/1/2017 hadi tarehe 30/1/2017.
Baada ya semina kutakuwa na mambo mengi sana yanayoendelea ambayo yatakuwa ni msaada kwako kwenye chochote unachokifanya.
Ada ya semina ni Tsh 5000/= shilingi elfu tano za kitanzania.
Mwisho wa kujiunga na semina hii ni Tarehe 30/12/2016.
Utafanya malipo kwenye namba ya tigo 0656110906 au voda 0753836463 Majina yatatokea Joas Yunus. Ukishalipa hakikisha umetoa taarifa kwenye hizo namba ili uwekwe kwenye group la wasap.
Kupata maelezo Zaidi Kuhusu semina tembele linki hizi. Link niliyotuma jana ilikua haifanyi kazi.
 Soma zaidi hapa http://www.jacobmushi.com/2016/12/semina-kubwa-itakayobadili-muelekeo-wa
 Soma pia hapa http://www.jacobmushi.com/2016/12/faida-5-utakazopata-ukijunga-na-semina
Karibu sana Rafiki.
Jacob Mushi
Entrepreneur & Author
Phone: +255 654 726 668/+255 755 192 418
Email: jacob@jacobmushi.com  
Blogs: www.jacobmushi.com,   www.jacobmushi.com  
jacobmushi.com.

Andika Maoni Yako Hapa

Discover more from Jacob Mushi

Subscribe now to keep reading and get access to the full archive.

Continue reading