535: Yanapokuja Usiyoyatarajia…

Weka Email Yako Hapa Upokee Makala Kama Hizi Kwenye maisha yetu ya kila siku kuna mambo mengi hutokea na kwa namna moja au nyingine mambo haya yanatuathiri moja kwa moja au kwa sehemu. Kila siku kuna mtu atakuwa amezidiwa na akakimbizwa hospitali, kuna ambaye atafiwa, kuna ambaye atapata ajali, kuna ambaye ataibiwa, kuna ambaye atapoteza […]

533; Kabla Hujachukua Jiulize Ulicholeta.

Watu wengi huja kwenye Maisha yetu wakiangalia ni kitu gani watapata na ndio maana mara nyingi ukiwa huna chochote huwezi kuwa na watu wengi waliokuzunguka. Natamani wewe usiwe kama watu wa aina hii. Embu nenda kwenye Maisha ya wengine ukiwa na kitu cha kuwapa. Kila mtu ana kitu cha kutoa kwa wengine. Kinachotuzuia ni Ubinafsi. […]

526; HEKIMA: Sumu Niliyowekewa Kwenye Chakula.

“Ilikuwa ni siku za mwisho wa mwaka ambapo tulikuwa na utaratibu wa kwenda kuwasalimia ndugu na jamaa ambao hatujawaona miaka mingi. Katika kuwatembelea ndugu jamaa na marafiki wengi siku moja nikapitia kwa ndugu mmoja ambaye hatukuonana muda mrefu sana. Huyu ndugu baada ya kunipokea alinisisitiza sana nile chakula. Nilimkatalia kwasababu nimepita nyumba nyingi na nimeshakula. […]

525; HEKIMA: Ni Wewe.

Ni wewe utawajibika pale unapoingia kwenye matatizo bila kujali ni nani aliyeyasababisha. Ni wewe utatakiwa kuchukua hatua pale mambo yanapokuwa magumu kwasababu ya uzembe unaoufanya sasa. Ni wewe utakalipa gharama za ulaji mbovu unaokula sasa pale utakapoanza kusumbuliwa na magonjwa. Ni wewe utakaelipa gharama ya ujinga unaoundekeza sasa hivi, unaambiwa ujifunze hutaki, Unaambiwa uweke akiba […]

520; HEKIMA: Kwanini Wengine Wanashinda?

Ni kwasababu wameamua kulipa gharama, Ni Kwasababu wameamua kujitoa kwa kila namna, Ni kwasababu wameamua na wapo tayari kukabiliana na changamoto zozote zitakazojitokeza. Ni kwasababu wamebadili mitazamo yao kutoka vile walivyokuwa mwanzo na sasa wana mitazamo kama wale waliofika mbali zaidi. Ni ukweli huo rafiki kama haupo tayari kulipa gharama huwezi kupata kile unachokitaka. Kama […]