Jijengee Tabia ya Kuweka Akiba.

Habari rafiki, hongera kwa kuchukua hatua ya kutaka kujijengea tabia ya kuweka akiba. Hii ni tabia ambayo watu wachache sana wanayo na imewawezesha kuishi maisha ya mafanikio yasiyo na hofu. Embu jiulize kama sasa hivi ungekuwa na akiba ya fedha ambayo inatosha kuendesha maisha yako hata kama hufanyi kazi yoyote kwa miaka 5 ungeishi kwa […]