KINACHOWATOFAUTISHA MATAJIRI NA MASKINI NI HIKI.

Ili uweze kutoka hapo ulipo sasa na kufika sehemu nyingine walipo watu wenye mafanikio makubwa ni muhimu sana kujua ni kitu gani kinawafanya muwe tofauti. Ni kitu gani kinawatenganisha na kuwafanya muitwe majina tofauti. Kitu cha ajabu ni kwamba wote tulizaliwa tukiwa na usawa, yaani kuanzia uwezo wa kufikiri, mazingira, na hata wakati mwingine upatikanaji […]