521; HEKIMA: Serikali Yako Ina Sheria na Taratibu?

Kila serikali huendeshwa kwa sheria na taratibu mbalimbali ambazo huwezesha watu kuishi kwa pamoja na kupunguza matatizo mbalimbali. Nimejiuliza kama mpaka sasa kungekuwa hakuna serikali, wala mipaka ya nchi yaani mtu peke yake anaibuka tu anafanya kila anachotaka tungekuwa wapi? Ukweli ni kwamba kuna vingi tungekosa na kuna vingi vingepotea. Sasa kama ni hivyo wewe […]

HATUA YA 308: Maoni ya Watu Wengine Juu Yako.

Tumezungukwa na watu wengi ambao wanatutazama kwenye yale tunayofanya kila siku. Wapo ambao wanatupenda na wanatamani kuona tunafika mbali vilevile wapo ambao wanatuchukia tu na wanatamani siku zote kuona tunateseka. Ni vyema tu ukaelewa hilo kwamba kuna watu wa aina hiyo kwenye Maisha yako na kile ambacho unakifanya. Ukiweza kutambua hivyo utajua namna bora ya […]

HATUA YA 263: Vile Usivyotaka Kuonekana.

Kuna aina Fulani ya maisha ambayo mara nyingi unapenda watu wajue kuwa unayo au unayaishi lakini katika uhalisia hauishi maisha hayo. Ni kwekli sio sawa kuonyesha kila kitu wazi kwenye dunia lakini ni vyema sana yale maisha ambayo unataka watu waone na wajue kuwa unayaishi ukaanza kuyaishi kiuhalisia badala ya kujifanya. Ukiendelea kujifanya kuwa una […]

#USIISHIE_NJIANI: KUWA MTU WA SHUKURANI.

Habari rafiki, Umeanzaje siku yako? Umefanya mazoezi? Umesoma kitabu? Pamoja na hali uliyonayo sasa hivi yaani hujafikia malengo yako kwa kiasi kikubwa bado una mengi ya kumshukuru Mungu. Embu watazame wasio na uwezo kama wako, watazame wanaokosa kula lakini wewe hujakosa mlo hata mara moja. Watazame wanaokosa maarifa kama haya, hawajui wafanye nini, hawana mtu […]