Wekeza Tsh 40,000 Urudishe Tsh 400,000+ ndani ya mwaka mmoja.

Habari Rafiki, kwanza nataka ufahamu hiki kichwa cha Makala sio cha uongo usije ukaishia njiani kwenye kusoma Makala hii. Nakukaribisha kwenye uwekezaji ambao unakwenda kubadili Maisha yako kabisa ndani ya mwaka 2020.

Imekuwa ni kawaida watu wanaweka malengo mwanzoni mwa mwaka na kisha mwaka unapoisha ukiwauliza wanajikuta hawajui hata ni lini waliacha kuendelea kufanyia kazi malengo yao. Najua unakubaliana na mimi kwamba wewe utakuwa ni mmoja wao. Kuna mengi ulipanga na umekuwa unapanga mara kwa mara kila mwaka lakini inapofika mwisho wa mwaka unajikuta ulishayaacha na kuyasahau siku nyingi.

Leo nakwenda kukupatia suluhisho la tatizo lako. Unajua unaweza kuwekeza Tsh 40,000 leo na baada yam waka mmoja ikakurudishia Ths 400,000/= na Zaidi? Yaana mara kumi ya uwekezaji wako wote unarudi. Hii ni kweli na inawezekana kabisa endapo tu utaweza kujua ni kitu gani unataka na kutengeneza mfumo mzuri ambao utakuwezesha kusimamia malengo yako.

Wakati tunakaribia kufunga mwaka nilikutana na ujumbe mmoja wa kichekesho unasema “Kitu pekee nilichoweza kufanya mwaka huu ni kupata kitambulisho cha NIDA” Ukweli inawezekana ukayapima malengo yako kitu pekee ulichoweza kutimiza ni kile kidogo sana. Na hii yote ni kwasababu kuna kitu umekosa na mimi nakwenda kukupatia mwaka huu.

Najua unajiuliza maswali mengi, hiyo 40k nawekeza wapi? Isije kuwa analeta mambo yake ya Network marketing au forex hapa? Hapana wala usiwaze hayo Rafiki, nakwenda kukupa njia ya kweli ambayo utaitumia kwenye Maisha yako yote na utaona mabadiliko.

Naomba uangalie mfano huu hapa:

Mwaka 1 Una Siku 365.

Kwahiyo Mwaka Huu KAMA Kila Siku Ukiweza 

Kuhifadhi (Save) Tsh 1000/= (elfu moja) MWISHO WA MWAKA Utakuwa Na Tsh 365,000/= (laki tatu sitini na tano elfu)

UKIHifadhi (save) Tsh 2000/= (elfu mbili) MWISHO WA MWAKA Utakuwa na Tsh 730,000/= (laki sab ana thelathini elfu)

UKIhifadhi (save) Tsh 5000/= (elfu tano) MWISHO WA MWAKA Utakuwa na 1,825,000/= (milioni moja laki nane na ishirini na tano elfu)

UKIhifadhi (Save) tsh 10,000/= (elfu kumi) MWISHO WA MWAKA Utakuwa na 3,650,000/= (MILIONI TATU LAKI SITA NA ELFU HAMSINI)

Wote tunakubaliana kwamba haya ni mahesabu rahisi sana na kama mtu anapata kipato katika hiyo mifano hapo kuna ambao anaweza kumudu. Lakini cha kushangaza sasa bado wewe hujaweza kufanya hivi na hata ukiweza basi utakuja kusikia mwisho wa mwaka hujui uliishiaga wapi na mpango wako.

Sasa mimi nimeliona tatizo liko wapi, tatizo kwamba huna msimamizi, huna mtu wa kukumbushia kila wakati yale malengo yako. Na hii inawezekana ni kwasababu ya mambo mengi uliyonayo. Sasa mimi nimemeamua kujitoa kwa ajili ya nafasi hiyo ya kukukumbusha Rafiki.

Ile Tsh 40,000/= niliyokwambia uwekeze si bado unaikumbuka? Ile unaiwekeza kwangu yaani kwa lugha nyingine rahisi Zaidi naweza kusema unanilipa ili mimi nikukumbushe kwa mwaka mzima. Sasa huo ndio uwekezaji unaoufanya, unawekeza Tsh 40,000/= kwangu mimi nakukumbusha kila mwezi juu ya kuwekeza. Kama malengo umeweka ni Tsh 10,000 kwa siku basi mimi nitakukumbusha kila mwezi kuhakikisha umewekeza hii pesa.

Kuepuka changamoto ya kuishia njiani na kujikuta ulishaacha malengo yako na uko na mambo mengine wewe njoo tufanye kazi hii pamoja. Tsh,40,000/= inaweza kuleta matokeo makubwa Zaidi. Utaweza kuweka nyingi Zaidi ya hiyo uliyonipa nikukumbushe.

Ukweli Tsh 40,000/= ni pesa ndogo sana, hakuna mtu atakubali kufanya hiyo kazi ya kukumbusha malengo yako kila mwezi kwa mwaka mzima halafu umlipe tsh 40,000/= kwanza utakuwa unampotezea muda wake. Cha kushangaza mimi nimeamua kufanya hii kazi kwasababu nataka wewe ufanikiwe. Badala ya Tsh 100,000 -500,000/= mimi nimeamua kukusaidia kwa Tsh 40,000/= tu.

Haya sasa upo tayari kuwekeza Tsh 40,000/=? Nafasi zipo chache sana sitaki kufanya kazi na watu wengi ambao watanisumbua. Nataka watu wachache mno ambao nitawekeza muda wangu kwao hadi mwaka huu uwe wa mafanikio.

Kama upo tayari basi nitumie ujumbe WEKEZA kwenye namba 0654 726668 WhatsApp Nikupe maelekezo yote.

Karibu sana

Rafiki Yako

Jacob Mushi.

2 Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

%d bloggers like this: